| Wahitmu wa chuo cha Masai Utalii Collage wakiingia kwenye ukumbi wa sherehe ya kuagwa kwao lao |
| Meza kuu, kutoka katikati mwenye miwani ni Katibu Tawala wilaya ya Tanga Bernad Patric aliyekuwa mgeni rasmi kwenye mahafali ya ii chuo cha Masai Utalii Collage, Tanga |
| Tarumbeta nao walikuwepo kutoa burudani ya aina yake |
| Master of Ceremony (MC) Godwin Henry Lyakurwa akifanya yake katika mahafaali hayo |
| Wanaobaki wakifikisha ujumbe wao wa masikitiko kwa njia ya uimbaji |
| Mkuu wa Chuo cha Masai Utalii Colaage akisoma historia ya chuo hicho chanye mafanikio ya hali ya juu, kwa wanafunzi wake 70% kuajiriwa wakati wa mazoezi ya vitendo |
| Wahitimu wakipanda jukwaani kuwaaga wadogo zao kwa wimbo |
| Hawa nao walikuwepo kusherehesha. |
| Mgeni rasmi DAS Patric akikabidhi cheti kwa mmoja ya wahitimu |
| Zoezi la utoaji vyeti likiendelea |
No comments:
Post a Comment