MWANAMKE MAKINI BLOG

Advertise Here

Thursday, 27 November 2014

A BETTER WORLD YASAIDIA UJENZI VYOO BORA MOMBO



·     TAASISI ya A BETTER WORLD ya Canada imesaidia ujenzi wa matundu ya vyoo 16 yaliyogharimu Mil. 16.5 kwa shule ya msingi Misajini iliyopo Mombo wilayani Korogwe.

Taarifa hiyo imetolewa na Mwalimu wa Shule hiyo Elizabeth Mathew kwa Muasisi wa Shirika hilo nchini Eric Rajahamba kwenye uzinduzi wa mradi huo unaolenga kuboresha afya za wanafunzi.

Mwalimu Mathew amesema amesema kufadhiliwa kwa mradi huo ni matokeo mazuri ya mahusiano Mtanzania Azidi Kaoneka na taasisi hiyo ambae pia aliwai kuwaunganisha na wafadhili waliofanikisha mradi wa maji na upanuz wa madarasa.

No comments:

Post a Comment