Hapa gari likiingia stendi mpya Kange kuchukua abiria kwa ajili ya kufanya safari zake za kawaida |
Haya yakiwa yanatoka stendi ya Kange kuelekea mikoani na wilayani |
Abiria nao hawakuwa nyuma, hapa wakiwa wamejipumzisha wasipatwe na jua kwenye sehemu za kusubiria magari |
- Huu Ndio Muonekano wa Stendi Mpya ya Mkoa wa Tanga, Kange. KARIBUNI SANA!
No comments:
Post a Comment