LEO FIFA imetoa Listi ya Ubora
Duniani na Mabingwa wa Dunia Germany bado wako Nambari Wani wakifuatiwa na
Argentina na Colombia wakati Tanzania imepanda Nafasi 5 na kukamata Nafasi ya
110.
Mabingwa wa zamani wa Dunia, Spain, wamezidi kuporomoka na sasa
wapo Nafasi ya baada kushuka Nafasi 2 huku Brazil wakibakia pale pale Nafasi ya
6.
Nao England wanazidi kushuka na safari hii wameshuka Nafasi 2 na
kushika Nafasi ya 20.
Timu ya juu kabisa kwa Afrika ni Algeria ambayo iko nafasi ya 15
baada kupanda Nafasi 5. Listi nyingine itatolewa hapo Tarehe 27 Novemba 2014.
20 BORA:
1
Germany [Ipo pale pale]
2
Argentina [Pale pale]
3 Colombia
[Pale pale]
4
Belgium [Imepanda Nafasi
1]
5 Netherlands[Imeshuka
Nafasi 1]
6
Brazil [Pale pale]
7
France [imepanda Nafasi 2]
8
Uruguay [Imeshuka Nafasi 1]
9
Portugal [imepanda Nafasi
2]
10
Spain [imeshuka Nafasi 2]
11 Italy [Imepanda Nafasi 2]
12 Switzerland [Imeshuka
Nafasi 2]
13 Chile [Imeshuka Nafasi 1]
14
Croatia [Imepanda Nafasi
5]
15
Algeria [Imepanda Nafasi
5]
16 Costa Rica [Imeshuka
Nafasi 1]
17
Mexico [Imeshuka Nafasi 1]
18
Greece [Imeshuka Nafasi 4]
19
Ukraine [Imepanda Nafasi 5]
20 England
[Imeshuka Nafasi 2]
ILIPO TANZANIA:
106
Belarus
107
Sudan
108 Palestine
109
Malawi
110 Tanzania [Imepanda Nafasi
5]
111
Ethiopia
112 Cuba
113
Namibia
113
Jamaica
115 St. Kitts and Nevis
116 Kenya
No comments:
Post a Comment