- Kama kigezo cha umri ni miaka 18-24, huu ni zaidi ya 'UPUUZI'
“Yaani angeanza darasa la
kwanza akiwa na miaka saba, angesoma shule ya msingi kwa miaka saba, sekondari
miaka minne, kidato cha tano na sita miaka miwili na chuo miaka mitatu, jumla
angekuwa na umri wa miaka 23 kwa sasa ambayo ni pungufu ya miaka 25 iliyotajwa
kwenye wasifu wake mtandaoni huko nchini Marekani”.
Maelezo
ya dingi
“Kuhusu masters mnakosea,
mwanangu hana masters, ana bachelor, nilimshauri achukue masters lakini akaomba
nimuache ashiriki kwanza mashindano ya u-miss ndiyo aje aendelee baadaye,”
alisema mheshimiwa huyo.
Pasipoti ya Kusafiria ya Miss Tanzania 2014 Sitti Abbasi Mtemvu |
No comments:
Post a Comment