TAREHE
|
SHUGHULI
|
19/10/2014
- 22/10/2014
|
Mikutano ya
Wanachama wote wa CCM Matawini kwa ajili ya kuelimishwa na kuhamasishwa
kuhusu Uchaguzi.
|
23/10/2014 –
25/10/2014
|
Kuchukua na
kurejesha Fomu za kuomba kugombea Uenyekiti wa Mtaa, Kijiji, Kitongoji na
Ujumbewa Serikali za Vijiji na Mitaa kwa Makatibu wa Matawi ya CCM.
|
26/10/2014 –
27/10/2014
|
Kampeni ya
wagombea ndani ya Chama.
|
28/10/2014 –
29/10/2014
|
Wanachama wa
CCM kupiga kura za Maoni za Wagombea Uenyekiti wa Kitongoji na Wajumbe wa
Kamati ya Kitongoji kwenye Mashina yanayohusika.
|
30/10/2014 – 31/10/2014
|
Wanachama wa
CCM kupiga kura za Maoni za Wagombea Uenyekiti wa Kijiji na Wajumbe wa Halmashauri ya Kijiji na vilevile kupiga
kura za Maoni kwa Wagombea Uenyekiti wa Mitaa na Wajumbe wa Kamati ya Mtaa
kwa Mijini. Kura zitapigwa na
wanachama wote wa CCM kwenye Matawi ya Kijiji au Mtaa husika.
|
01/11/2014 –
03/11/2014
|
Kamati za
Siasa za Matawi kujadili wagombea na kutoa mapendekezo yake kwa Kamati za
Siasa za Kata
|
04/11/2014 –
06/11/2014
|
Kamati za
Siasa za Kata kujadili wagombea na kutoa mapendekezo yake kwa Halmashauri Kuu
za Kata na kwa Kamati za Siasa za Wilaya.
|
07/11/2014 –
09/11/2014
|
Halmashauri
Kuu za Kata kufanya uteuzi wa mwisho kwa wagombea Uenyekiti wa Vitongoji.
|
10/11/2014 –
11/11/2014
|
Kamati za
Siasa za Wilaya kujadili wagombea na kutoa mapendekezo yake kwa Halmashauri
Kuu za Wilaya.
|
12/11/2014 –
14/11/2014
|
Halmashauri
Kuu za Wilaya kufanya uteuzi wa mwisho wa Wagombea Uenyekiti wa Mtaa,
Uenyekiti wa Vijiji, Wajumbe wa Kamati za Mitaa na Wajumbe wa Halmashauri za
Vijiji.
|
15/11/2014 –
21/11/2014
|
Kuchukua Fomu
na kurudisha kwa Msimamizi wa Uchaguzi.
|
16/11/2014 –
21/11/2014
|
Mafunzo ya
wajibu wa Wagombea na Mawakala.
|
24/11/2014
|
Siku ya uteuzi
wa Wagombea kwa Msimamizi.
|
MWANAMKE MAKINI BLOG
Advertise Here
Tuesday, 21 October 2014
RATIBA YA MAANDALIZI YA UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA NDANI YA CHAMA
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment