Amiri Kiemba akifanya yeke. |
KLABU
ya Simba SC imewasimamisha wachezaji wake watatu kutokana na kile ninachodhaniwa
wachezaji hao kuwa sehemu ya klabu hiyo kufanya vibaya,
Wachezaji
waliosimamishwa ni viungo Amri Kiemba,Shabani Kisiga na Haruna Chanongo,hapo
jana jijini Mbeya Simba ililazimishwa sare ya tano msimu huu na Prisons.
Taarifa
kutoka chanzo cha kuaminika ndani ya klabu hiyo kinasema pia benchi la ufundi
limepewa changamoto ya kuakikisha timu hiyo inakusanya pointi tisa kutoka
kwenye michezo mitatu inafuata kama ikishindikana basi benchi Zima la ufundi
nalo litapigwa chini.
No comments:
Post a Comment