· WAKULIMA
nchini wameshauriwa kulima zao la mkonge kutokana na faida zake na linastaimili
ukame kwa muda mrefu tofauti na mazao mengine.
Hayo ameyasema mwenyekiti
wa kamati ya uwamasishaji wa chama cha wakulima wa Mkonge Tanzania Lai Nkuma
katika mkutano wa sita wa maandalizi ya
mkonge day yanayo tarajiwa kufanyika siku ya
jumamosi ya tarehe sita ya mwezi huu
katika viwanja vya Tangamano jijini hapa
Hata hivyo dhumuni kubwa
la siku ya Mkonge ni fursa ya kukutanisha wadau wote wa mkonge
na viongozi wa serikali pamoja na mambo
mengine kuzungumzia maendeleo ya zao hilo la mkonge.
MAAJABU YA ZAO LA MKONGE! NA UBORA WA BIDHAA ZAKE
No comments:
Post a Comment