kikosi cha wanajeshi elfu 20 wa umoja huo
watashirikiana na wale wa Jamhuri ya Kidemokrasi ya Congo katika kampeni
zilizopangwa kuanza karibuni dhidi ya waasi wa Kihutu wa Rwanda.Wanamgambo wa Kihutu, wanaojulikana kama FDLR, wamekuwa wakilitumia eneo la mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasi ya Congo kama kambi yao ya kufanya mnashambulizi dhidi ya serikali ya nchi jirani ya Rwanda.
Waasi hao wameshindwa kufikia muda wa mwisho wa kimataifa uliowekwa wiki hii wa kuweka silaha chini na kuondoka katika eneo hilo.


No comments:
Post a Comment