Ni dhahiri kwamba Mungu ndiye aliyeleta wazo la kuwepo mtu mke (mwanamke). Basi, ni halali kutazamia kwamba atatupa maelekezo jinsi mwanamke anavyotakiwa kuishi na kutuonya juu ya matatizo yanayoweza kutuangamiza au kuharibu mafanikio yetu. Mungu ametupa kanuni nyingi sana katika maandiko yake kuhusu jinsi mwanamke anavyotakiwa kuwa kuwa, na wajibu wa kila mmoja katika jamii. Maagizo hayo ya KiBiblia/Kuraan yanapofuatwa, mwanamke atapata baraka zote ambazo Mungu alikusudia azifurahie. Zinapovunjwa, matokeo yake ni maumivu makali moyoni, na vurugu... usichoke kufuatilia blogu hii ya mwanamkemakini makini tuweze kukumbushana na kuelekezana mengi yanayotuhusu na hatimaye kulifumbua fumbo la kuelekea mafanikio
No comments:
Post a Comment