Akithibitisha tukio hilo Kamanda wa
Jeshi la polisi Mkoani Tanga Frasser Kashai amesema limetokea january 5 mwaka
huu majira ya saa 20:00 usiku katika kijiji cha Maranzara Tarafa ya Pongwe Wilayani Tanga.
Kamanda Kashai amewataja watuhumiwa hao waliouawa kuwa ni Mwenshehe Abasi(29) na Edwin Kamugisha (25) wakazi wa Pongwe Jamse Erick (22)mkazi wa Kange na Juma Bakari ambaye hajatambulika umri wala makazi .
imedaiwa kuwa baada ya ng'ombe huyo kuibiwa wananchi walifuatilia nyao zao na kuwakuta watuhumiwa hao wanne wakimfunga ng'mbe huyo kwenye mti ndipo wananchi hao walopoanza kuwashambulia hadi kuwauwa.

kufuatia mauaji hayo Jeshi la Polisi limefanya Msako mkali na kufanikiwa kuwakamata watuhumiwa watano wanaohusishwa na mauaji hayo ambao ni Abdi Mohamedi (29) Kombo Mrami (23) Maendo Juma (20), Hakimu Omari (53) na Issa Bakari (53) na watuhumiwa wote watano ni wadigo wakazi wa Maranzara.
Miili ya marehemu watatu wamekabidhiwa kwa ndugu zao kwa ajili ya taratibu za mazishi baada ya uchunguzi wa daktari na mwili mwingine bado umehifadhiwa katika hospital ya Mkoa Bombo ikisubiri utambuzi kutoka kwa ndugu watakao jitokeza.
No comments:
Post a Comment