‘YP’ alikuwa akisubiliwa na kifua kwa muda mrefu lakini hali ilikuwa
mbaya katika wiki mbili kabla ya kifo chake.
Kwa mujibu wa Meneja wa TMK Wanaume Family Said Fela amethibitisha kutokea kwa msiba huo.

Msiba wa msanii huyo uko Keko nyumbani kwa baba yake.
Said Fella amesema Marehemu alifanya vizuri na msanii mwingine Y Dash na nyimbo kama 'Pumzika', 'Ulipenda Pesa', 'Shemsha' na nyimbo nyingi za TMK Wanaume Family kama 'Twende zetu' ya Chege, 'Dar mpaka Moro', 'Kichwa kinauma', 'Tufurahi' nk.

No comments:
Post a Comment